Anna Mghwira kuhamia ccm rasmi leo
aliekuwa kiongozi wa ACT wazalendo Anna Mghwira amehamia ccm leo ambae ni mkuu wa mkoa wa moshi leo akiwa amezungumza katika mkutano mkoani dodoma wa chama cha umoja wa wanawake tanzania(UWT) kilichofanyika mkoani dodoma leo

0 comments:
Post a Comment