baraka the prince kuandikiwa nyimbo
bright asema kuwa baraka da prince asaidiwe kuandikiwa nyimbo kwa maana nyimbo zake nyingi sana anaimba lazima neno moyo liwepo huenda labda anatatizo la moyo kwa iyo anatakiwa asaidiwe kuandikiwa nyimbo ili aweze kutolewa mahal alipo na kupelekwa mahali pengine sababu kwa maan nyimbo izo zinakuwa tu na mahairi yanayofanana na kumfanya kuwepo eneo hilo hilo pasipo kusogea eneo jingine lolote lile
0 comments:
Post a Comment